Skip to main content
  • @transcript
  • @transcript
  • @transcript
  • @transcript
  • @transcript

Tunafanikisha mengi kama timu

Hakuna swali kuhusu jambo hili – mafanikio yetu kama wataalamu katika ufasiri na ujanibishaji wa programu za kompyuta yanategemea kwanza kabisa timu yetu. Kwa hivyo, huwa tunajaribu kukuza timu yetu kila wakati kwa kuongeza wafanyikazi huria:

Mfasiri wa kiufundi anayebobea upande wa Teknolojia ya Habari/teknolojia/madawa

Maelezo yako mafupi:

  • Uzoefu katika nyanja husika
  • Ujuzi aali wa programu zote zinazotumiwa sana
  • Ustadi katika vifaa vya kawaida vya ufasiri

 
Masharti muhimu:

  • Unafasiri kwa lugha yako ya kuzaliwa
  • Unafanya kazi kwa uaminifu na uangalifu
  • Unathamini ubora

Unavutiwa? Basi tutumie barua pepe ikiwa pamoja na Maelezo Yako Binafsi Kuhusu Elimu na Ujuzi (CV)